Simba yatolewa mapinduzi cup na mlandege

Simba yatolewa mapinduzi cup na mlandege

Michuano ya kombe la mapinduzi ina makundi manne ambayo yana timu tatu tatu Kila kundi. Mshindi wa kila kundi anaenda Moja Kwa Moja nusu fainal.
Paka sasa Mlandege anaongoza kundi la simba maana hata Simba akishinda mechi yake iliyobakia atafikisha point 3 ambazo zimeshapitwa na mlandege mwenye pont 4
Wasipokuelewa na hapa waandikie kwa herufi kubwa.
 
Kwa mujibu wa taahira wa soka ndugu Haji manara ni kuwa wenye akili pale Yanga ni wawili tu, ila Kwa mujibu wa Al-haji Aden rage ni kuwa wanaSimba wote hawana akili (mbu x3)
Kwahiyo unataka kusemaje mkuu, kwamba mashabiki wote wa hizi timu ni hamnazo kasoro mtu mbili tu.
 
Kwahiyo unataka kusemaje mkuu, kwamba mashabiki wote wa hizi timu ni hamnazo kasoro mtu mbili tu.
Ilo liko wazi mkuu. Ndio maana wengine Huwa tunaingia humu jf sports kwa I'd tofauti na I'd zetu za kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana humu jukwaa la Michezo akili huwa unaziweka pembeni
 
Na hii michuano ndio mlitaka muitumie ili kocha wenu mpya aweze kuwasoma mchezaji mmoja mmoja.

Na muonea huruma Mgunda,mechi ya leo itatumika kama kiboko cha kumchapa.
Kocha mpya akiwasoma wachezaji mmoja mmoja🤣🤣
 

Attachments

  • Kocha.jpg
    Kocha.jpg
    31.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom