Sio mabegani kwa refa tena?Mpaka sasa kwa kipindi hiki cha kwanza hatma ya Simba ipo mabegani kwa Chemalon
Huyo huwa ni fighter kitambo sana.Konde Boy Utamuona Mbele utamuona Nyuma Akikaba
Huyo jamaa ni zaidi ya bekiMpaka sasa kwa kipindi hiki cha kwanza hatma ya Simba ipo mabegani kwa Chemalon
Usitarajie makubwa sana kwa hizi team mkuu...Sasa kama Simba haijatulia, inakuwaje hadi muda huu Yanga hawajayatumia makosa?
Mmepigwa kitu kibendera kawabeba Ila bado kingine lazima kiingieDah kmmk
[emoji23][emoji23][emoji23] tayari siyotayariiiiiiii