matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Yanga inaonyesha kulitaka hili kombe zaidi ya simba Yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayariii inayofuata mnabagazwadk si nyingi inakuwa tayariiii
Boko kacheza vizuri saana labda kama hujui mpiraKuna muda najiuliza, au huwa ni maelekezo ya viongozi fulani?
Hivi kwenye benchi unawezaje kuwa na Baleke na Phiri kisha uanze na Bocco mbele?
𝙾𝚔𝚊𝚢Umeibuka HT
Tayari nini?tayariiiiiiii
Bocco ndio anajitoaga muhanga kushika hirizi ya timu. Wengine wote wanaogopaKuna muda najiuliza, au huwa ni maelekezo ya viongozi fulani?
Hivi kwenye benchi unawezaje kuwa na Baleke na Phiri kisha uanze na Bocco mbele?
Kabisa, labda watabadilika kipindi cha piliYanga inaonyesha kulitaka hili kombe zaidi ya simba Yangu.
Wewe nenda kapike tu, kama hata hapo umeshindwa kuiona offside.refa kama kawaida mbeleko
[emoji23][emoji23]Tayariiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Aweee nani kasema gemu ishaisha tushanusa goli kipindi cha pili tunashindilia walipochomoaKabisa, labda watabadilika kipindi cha pili
Anachukua ipi hiyoYanga anachukua ngao ya jamii! Mambo ni motoo.
Sio konde boy Yao YaoSo Far Max ni Man Of the Match hadi Sasa
Hata kross zinaruhusiwa kutengeneza nafasiROBERTINO mechi 3 tumeona.. Badilisha kabisa mfumo wa uchezaji kabla league haijaanza ... Team haitengenezi kabisa nafasi zaidi ya kutegemea cross.. Mtakuja kunielewa baadaye...