kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Amekuwa mzigo kwa timuHapa shida ni Miqisone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuwa mzigo kwa timuHapa shida ni Miqisone
Wengi wao ni wapiga kelele tu, hawana lolote wanalojua kuhusu mpira. Mtu anayaita mbeleko maamuzi ambayo ni ya wazi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu baadae wanamtolea povu Refa
ntaenda kupika baada ya kuwabandua 2Wewe nenda kapike tu, kama hata hapo umeshindwa kuiona offside.
[emoji23][emoji23]kinyonge sanaKipindi cha pili ndio kipindi chetu
mazoea ya kubebwa yanafanya kila jambo lionekane mbeleko waambieni marefa waache kuwabebaWengi wao ni wapiga kelele tu, hawana lolote wanalojua kuhusu mpira. Mtu anayaita mbeleko maamuzi ambayo ni ya wazi kabisa.
[emoji23][emoji23]Huyu Kocha hachelewi kumtoa Bocco akaingiza Kibu D
yao yao hana mpinzani hadi sasa man of the match anapanda anashuka kukaba yaan yanga wamelamba dume paleSio konde boy Yao Yao
Yule beki anayemkaba Bocco ni mwepesi kuliko yeye. Wangeweka mtu flexible zaidi japo hajafanya vibaya sana.Boco anamuweka nje phiri na baleke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatuna kocha tuna taka taka tu pale. Tufungwe tu
Ukichunguza kwa undani, hata YangaSimba hakuna timu kumamaake
Sawa.Boko kacheza vizuri saana labda kama hujui mpira
Hadi najiuliza shida ni kikosi au kocha?Tunaoumia ni sisi Mashabiki..
Huyu kocha anapanga kikosi gani? Team inaonekana ya kawaida kutokana na upangaji wa kipuuzi..