Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Wengi wao ni wapiga kelele tu, hawana lolote wanalojua kuhusu mpira. Mtu anayaita mbeleko maamuzi ambayo ni ya wazi kabisa.
mazoea ya kubebwa yanafanya kila jambo lionekane mbeleko waambieni marefa waache kuwabeba
 
Tunaoumia ni sisi Mashabiki..

Huyu kocha anapanga kikosi gani? Team inaonekana ya kawaida kutokana na upangaji wa kipuuzi..
 
IMG_9628.jpg
 
Back
Top Bottom