Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Mi mshabiki wa Simba ila nimeona ili kupunguza machungu baada ya mechi nikabet kwa kuweka 30k ushindi kwa yanga.
Utashangaa game inaisha 0-0, kisha labda Yanga akashinda kwa penalties, hapo unakuwa umekosa vyote na unaambulia maumivu ya Simba Sc kupoteza ngao.

Huko kwenye betting hakuna mambo ya kupunguza machungu, ni bahati tu.

[emoji23]
 
Kipindi cha kwanza Simba imecheza sana mipira mirefu ambayo 85% ilikuwa inachukuliwa na wapinzani.

Formation ya kocha sio rafiki, Bocco mechi imemshinda anafanya tuwe 9 uwanjani.

Yanga imemiliki mpira imepiga pasi nyingi na imefika mara nyingi golini kwetu na kutengeneza presha.

Kazi kubwa kaifanya Chemalon huyu ndio man of the match kwa kipindi hiki cha kwanza, mzigo wote upo mabegani mwake.

Simba haikabi mipira na haina kasi, mipira michache sana ambayo Simba imefanikiwa kuichukua kutoka kwenye miguu ya mpinzani. Mostly ilikuwa ni mipira ambayo mpinzani alikuwa amekosa target na kujikuta amepiga uelekeo wetu.

Kocha atulize akili aje na mbinu mpya, ila kama ndio atachelewa kufanya sub basi sioni namna ambayo tutaweza kutoboa mechi hii.
Kwanza kbs mbele hakuna wakabaji.. si bocco si chama wote hao hawakabi.

Mbili wanategea

Tatu bocoo haruki juu

Nne mzitoo sana

Tano tuna watu wafupi wafupi wengi mule mipira ya juu sio kbs Simba inaweza pasi

Na pasi nyingi wanapiga ambazo ni predictable ndio ujinga.

Mwisho kbs hatuna wapigaji wa mbali... yule Kipa anapata bichwq kwa kuwa hakuna wa kumfanyia kile cha kibu D siku ile
 
Kipindi cha kwanza Simba imecheza sana mipira mirefu ambayo 85% ilikuwa inachukuliwa na wapinzani.

Formation ya kocha sio rafiki, Bocco mechi imemshinda anafanya tuwe 9 uwanjani.

Yanga imemiliki mpira imepiga pasi nyingi na imefika mara nyingi golini kwetu na kutengeneza presha.

Kazi kubwa kaifanya Chemalon huyu ndio man of the match kwa kipindi hiki cha kwanza, mzigo wote upo mabegani mwake.

Simba haikabi mipira na haina kasi, mipira michache sana ambayo Simba imefanikiwa kuichukua kutoka kwenye miguu ya mpinzani. Mostly ilikuwa ni mipira ambayo mpinzani alikuwa amekosa target na kujikuta amepiga uelekeo wetu.

Kocha atulize akili aje na mbinu mpya, ila kama ndio atachelewa kufanya sub basi sioni namna ambayo tutaweza kutoboa mechi hii.
Sahihi kabisa mkuu. 100%.
Haya madhaifu yameifanya yanga kuonekana wananafasi kubwa kushinda.

Ila kama kocha ameona madhaifu akabadilika simba inashinda.
 
Tushinde ama Tusishinde, nimeridhika na Yanga yangu kwa 99%. 1% tunahitaji Strika. Bado nammiss Mayele.
Wewe upo kama mimi binafsi naona future nzuri sana mbeleni ukizingatia tuliondokewa na benchi la ufundi. Sikutegemea kama timu ingerudi katika perform ya hali ya juu kama timu ilivyokuwa chini ya Nabi. Ila naona tuendako ni kuzuri
 
Kipindi cha kwanza Simba imecheza sana mipira mirefu ambayo 85% ilikuwa inapotea na kuchukuliwa na wapinzani.

Formation ya kocha sio rafiki, Bocco mechi imemshinda anafanya tuwe 9 uwanjani.

Yanga imemiliki mpira imepiga pasi nyingi na imefika mara nyingi golini kwetu na kutengeneza presha.

Kazi kubwa kaifanya Chemalon huyu ndio man of the match kwa kipindi hiki cha kwanza, mzigo wote upo mabegani mwake.

Simba haikabi mipira na haina kasi, mipira michache sana ambayo Simba imefanikiwa kuichukua kutoka kwenye miguu ya mpinzani. Mostly ilikuwa ni mipira ambayo mpinzani alikuwa amekosa target na kujikuta amepiga uelekeo wetu.

Kocha atulize akili aje na mbinu mpya, ila kama ndio atachelewa kufanya sub basi sioni namna ambayo tutaweza kutoboa mechi hii.
Sasa mbona kama unalia hata mechi haijaisha?
Tutakodi bajaji kukurudisha maskani homeboy.
 
Back
Top Bottom