zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
sijui TFF timu ambayo haikustahili inashangaza imefikaje fainalHawa marefa wanaokotaga wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui TFF timu ambayo haikustahili inashangaza imefikaje fainalHawa marefa wanaokotaga wapi
Sheria mkuu,sheriaa[emoji23]Hawa marefa wanaokotaga wapi
Na matokeo yenyewe analazimisha Simba ishinde au mechi iende penati penatiTulisema Refa ana matokeo mfuko know mnabisha
KabisaaIla ile ilikuwa penati
hakuna penati ya vile labda kwenye kandanda sio sokaRefa kauma penati ile alofanyiwa kibu
Sheria wapi hatuna marefaSheria mkuu,sheriaa[emoji23]
Ninachojua hawezi kupata njano nyingine, kwenye mechi kama hizi ni ngumu sana kushuhudia RED CARD, japo ilishawahi kutokea huko nyuma.Kennedy anakula njano
Mwambie atulie tumkande asirukerukehakuna penati ya vile labda kwenye kandanda sio soka
Kocha na mjinga mjinga yani bocco na saidoo wamerudi uwanjani? Na saidoo atacheza dakika 90 zote
Refa ni Uto damuHuyu refa ni mjinga sana, hili swala la wachezaji kushika mpira kisha anajifanya kama haoni linataka kukithiri sasa.