Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Tatizo la kocha kushindwa kufanya sub linataka kukomaa.
 
Huyu Bocco labda kama kabeba uchawi kama wengine wanavyotania, ila hana mpira wowote wa maana kiasi cha kuachwa dakika zote hizo.
Unatuliza gamba unabaki umezubaa kama uko mwenyewe uwanjani. Vijana wepesi wanauchukua tu kifuani wanaendelea na mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…