ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #641
Mzamiru ni Kama Kachoka Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatuliza gamba unabaki umezubaa kama uko mwenyewe uwanjani. Vijana wepesi wanauchukua tu kifuani wanaendelea na mechi.Huyu Bocco labda kama kabeba uchawi kama wengine wanavyotania, ila hana mpira wowote wa maana kiasi cha kuachwa dakika zote hizo.
Kocha lafa sana huyu. Hatutaki mpira wa hiriziboko ashukua bokoboko
Sangoma hana deni tena. Magoli aliyoyaseti yameingiaOffside tena Nzize
Mikono juu ushaishiwa pumzi Makolo unakoswakoswa tu migoli unaingia refa anawabeba na offsideMechi ya hovyo... Atae shinda na ashinde..
Kona sita hakuna goal wala kosakosa...hii si sawa.Kona 6 kwa Yanga
Simba Hawajapata Kona
Umeona na wewe, nilidhani ni mie peke yangu.Refa ni Uto damu
bado kuna wamba hawajaingiaSimba anakufa kwa mabadiliko haya.
Bado moja la kumfunga mpaka refa kibendera aishiwe pozi nahisi kibendera atalia uwanjaniSangoma hana deni tena. Magoli aliyoyaseti yameingia
Sina huo ulimbukeni kwenye maswala ya mpira.Wa mwisho kulia ndio analiaga sana
we shabiki wa kwel vipi timu yako unaona ina chochote cha maana kwenye hili gemuWewe shabiki maandazi