zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
hahahhaa usajili wa bilioni 3 n presha tupuMungu ibariki simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhaa usajili wa bilioni 3 n presha tupuMungu ibariki simba
Wanategemea matuta tunaenda kuwashindilia huko huko kwenye matuta hakuna kibendera𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄
𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 0 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 0
𝐓𝐰𝐞𝐧𝐝𝐞𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐏𝐞𝐧𝐚𝐥𝐭𝐢 𝐬𝐚𝐬𝐚
Siongozi mimi nilikuwa nazitizama hizo bil 3,vp ww umeziona.Unaongoza ngapi mpaka sasa..?
Dharau [emoji16]Phiri amekuwa mpiga penalty saiv
Simba 1-5 yangaPenaaaaaaaaaaaat
𝐂𝐡𝐞𝐚𝐭 𝐜𝐨𝐝𝐞Diarra Anapewa Chupa Yenye Maji namna Wachezaji wa Simba Wanavyopiga Penalties
Umekwisha penati hazina kibendera lawama zote kwa robatibinyoDaaaah hapa ndio lile neno BAHATI linachukua hatamu.
acha woga kipa bora NBC na shirikisho hana haja ya kupewa majiDiarra Anapewa Chupa Yenye Maji namna Wachezaji wa Simba Wanavyopiga Penalties
Ile ya msimu uliopita ilikuwa kali kwasababu ya moto aliokuwa ameuwasha Mgunda, na ndiomaana hata alipoingia huyu kuna namba team ilibadilika negatively kidogo.Sijawahi ona simba mbovu kama hii
alafu una ambiwa n bonge la timuDuuh…mechi mbili dakika 180 magoli 0