Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Sijawahi ona simba mbovu kama hii
Ile ya msimu uliopita ilikuwa kali kwasababu ya moto aliokuwa ameuwasha Mgunda, na ndiomaana hata alipoingia huyu kuna namba team ilibadilika negatively kidogo.

Sasa kaanza nayo msimu, kaiingizia mifumo yake ya kijinga .


Maana ukiangalia first 11 ya Simba Sc haijabadilika, ila uchezaji wake haufanani kabisa na ule wa msimu uliopita.

KOCHA NI TATIZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…