joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mmeanza penati ya kwanza hio Diarra anachomoaUtabiri: Aucho anapaisha leo
Ni kama Mo amenunua goli 0 kwa 3bn.Duuh…mechi mbili dakika 180 magoli 0
Ww vipi minya nanii hizo usije pata kiharusiSubiri ukandwe penati huchomoki ulimshinda Singida tu sio Yanga
Ni Simba Sc.Yanga Wanaanza kupiga Penalt
AmepataaaaaMazimiruuuuu anaanza kupiga
AmepataaaaAziz Ki anaenda kupigaaaa