Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Ooooh Kipa mbovu, Kipa mbovu mnasemaje huko kenge nyinyi..?

Diarra ameponza na kuvimba kichwa kwa zile sifa alizopewa, alionyesha dharau kila alipopata nafasi.

Analeta swagger za Martinez wa Argentina akati yeye ni Famba tu
 
Simba tumekosa raha dk 90...
Vp nishangilie dk za penalti...

Salimu Katoro asimfichie aibu poor ROBERTINO
 
Back
Top Bottom