Basi shangilieni nyiesimba hatupaswi kushangilia huu ushindi kabisa
Sema hakuna timu, ilikuwaje wafike hadi hapo kwenye matuta?Yanga hakuna wapigaji wa penalties
huna timu mkuu, umekimbizwa dk 90 golini ujafikia unajisifia penatiNilikwambia lugha yako imekuwa inabadilika, nadhani sasa umeelewa namna ya kucheza kikubwa
leo mnakipaTunakipa aiseeeee
ππΌππΌππΌππΌSimba wakianza kupiga basi tunatwaa ngao
Tukishangilia unaumia kwahiyo kana unamtoto chizi utamkataa sio mwanao tuacheni na mbovu yetuyaan inachekesha timu inashangilia wakat hamna kitu
Sawa, π€£ π€£ π€£tayariiiiiiii
Argentins na france ilikuwajesimba tujiulize sana huu si ushindi kabisa
Kheee haya Mdaka mishale vip.. naona alikuwa anazikwepa tupenati imemgonga imedondoka chini kakutana nayo, unajua kuficha penati penati.wewe
Fact ila ndoo tumechukuaTusidanganyike na ubingwa wa PENALTI..
Maoni yangu yako pale pale ..
SIMBA ya ROBERTINO ni mbovu .mbovu..mbovu...
Piga chini ROBERTINO....
ππΌππΌππΌππΌππΌUtabiri: Aucho anapaisha leo
huna timuKama mnaona mna mna timu nzuri mmngefunga toka mwanzooo...nyie ni wabovu tuuuuu
Mkuu ulikuwa wapi?