Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Hakika TIMU KUBWA utaijua tu.Tuliambiwa wanakwenda TANGA kutetea NGAO YAO lakini LEO wamecheza na TIMU KUBWA
YANGA tofauti yao na IHEFU FC au NAMUNGO FC ni Rangi ya Jezi tu lakini kila kitu WANAFANANA
SIMBA BINGWA NGAO YA HISANI.
-143138546.jpg
 
Umetazama mpira Kalpana?

Kwenye ligi Simba isipobadilika yanaweza yakawa kama ya msimu uliopita, Simba bado sana kufikia ubora wao...

Kwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
 
Nilikuwa naangalia live kwanza ndipo nije humu kushuhudia wachambuzi uchwara wanaropoka nini!.
 
Back
Top Bottom