Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Hakika TIMU KUBWA utaijua tu.Tuliambiwa wanakwenda TANGA kutetea NGAO YAO lakini LEO wamecheza na TIMU KUBWA
YANGA tofauti yao na IHEFU FC au NAMUNGO FC ni Rangi ya Jezi tu lakini kila kitu WANAFANANA
SIMBA BINGWA NGAO YA HISANI.
 
Umetazama mpira Kalpana?

Kwenye ligi Simba isipobadilika yanaweza yakawa kama ya msimu uliopita, Simba bado sana kufikia ubora wao...

Kwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
 
Tusidanganyike na ubingwa wa PENALTI..
Maoni yangu yako pale pale ..
SIMBA ya ROBERTINO ni mbovu .mbovu..mbovu...
Piga chini ROBERTINO....
Tunafurahi kuchukua ngao, ila mifumo ya huyu kocha ni ya kipuuzi sana.
 
Nilikuwa naangalia live kwanza ndipo nije humu kushuhudia wachambuzi uchwara wanaropoka nini!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…