Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba imeamua ikianza na full squad lazima wakae tu, kwahiyo ametafuta sababu mapema.
 
Wachezaji wawili ambao mara nyingi uwanjani hugeuka liabilities, Bocco na Ntibazonkiza.

Ngoja tuone plan zake, maana kwenye benchi kuna players wa moto.


Halafu huyu Miquisonne tayari kawa fit kukichafua kiasi cha kuanzishwa hivi?
Saido sina mashaka naye ni mchezaji ambaye anajituma sana uwanjani

Ila game ikimkataa hutapenda kumuona akiwa ana miliki mpira, muda wote utatani atoe pasi.

Miquisson nadhani kuna kitu kaimprove na ukicheki leo kuna ile combination na Chama so tuweke hope
 
Huyu msenge kampanga Bocco.. ?? Khee..

Uzuri alisema mwenyewe matokeo yakiw mabaya tumfanye chochote.
 
Mbona mnaanza kutafuta lawama mapema??? Subirini Yanga abebe ngao yake. Malalamiko HAYATUHUSU…!!!
 
Kwa hii Simba leo kad za njano zitatembea nyingi.
 
Thread mbovu hii kwa vile imechanganya michezo miwli kwa pamoja
 
IMG_9627.jpg
 
Naona mashabiki wa kila upande wanalaumu team selection zilizofanywa na makocha wao. Ngoja tuone kocha yupi kamari yake itamlipa leo.
 
Back
Top Bottom