Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Mashabiki ni wengi kweli Mashaaabiki ni wengi

Makolo mjiandae kulia baada ya gemu
 
Mimi ni yanga ila machale yameishaniambia mbumbumbu FC wanashinda. Usihangaike kuibetia yanga.
 
Back
Top Bottom