Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Duh Mayele ni noma hamfukuzisha kocha mapema tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam wametimua kocha juzi kelele zilikuwa ndogo Simba kama timu Wana malengo yaoNyumbu wamevamia uzi wanasahau hata al ahly wametimua kocha wao baada ya kudumu naye kwa miezi miwili tu club zenye malengo makubwa hazikai na makocha.
Kama kama Matola kiraka. Ila huyu Matola aangaliwe kwa jicho la karibu!!Sa itakuaje
Hahahaha SawaahDuh Mayele ni noma hamfuzisha kocha mapema tu
Wapuuzi tuu wanataka kufanya watu hawana akili. Timu yenye malengo ya kwenda champions league final wanakuwa wanajua the right man wanaemtaka. Hamna mambo ya cv. Ni suala lakusema tunamtaka mosimane kwisha.iInterview ya kumpata ilikuwa ya mkwara kweli kweli, tuliambiwa zaidi ya makocha 700 duniani kote😀😀😀😀😀
This is thiimbaaaa[emoji23][emoji23] AlooView attachment 2347598
Nashauri kwa dhati na moyo mkunjufu kama Matola vyeti vyake vinakidhi vigezo tumuachie timu.
Wachezaji wanampenda.
Wachambuzi watakosa la kusema.
Pia Simba tutakuwa mfano wa kuingwa kuwaamini makocha wazawa.
Hizi team zinaumiza kichwa sana usipokuwa nazo makiniWapuuzi tuu wanataka kufanya watu hawana akili. Timu yenye malengo ya kwenda champions league final wanakuwa wanajua the right man wanaemtaka. Hamna mambo ya cv. Ni suala lakusema tunamtaka mosimane kwisha.
Huifikirii Yanga mwezi ujao?Walimchelewesha, tulifungwa na Yanga, kwa upuuzi wa kumchezesha Mwanuke, na mzungu, wale wazuri waliocheza kipindi cha kwanza unawatoa tunafungwa kipindi cha pili, mechi zote za kirafiki ni kufungwa na draw na mechi zote tulizoshinda ni juhudi binafsi za wachezaji hamna ubunifu wa kocha.
Sijui itakwaje na mechi ya kimataifa ndo next week
Wanapenda sana kutuaminisha kuwa matola ndio kocha bora pale simbaKwanza hako ka Matola hakana sifa ya kuwa kocha mkuu,pili kwenye uongozi ukiona unapendwa na wote ujue una shida.Kifupi Matola ni kirusi pale lunyasi
Matola ana mkataba wa maisha ssc sio?Kumekucha.... Hi imekuja mapema sana....
Tatizo nini hadi wavunje mkataba...
#NguvuMoja...
wanaongoza ligi lakiniMungu awasaidie Simba wanaweza kushuka daraja huu msimu..
Unamuonea wivu? Acheni roho za korosho, fanyeni kazi zenuMatola ana mkataba wa maisha ssc sio?
Ata arsenal nae anaongiza ligi pia...kaa kwa kutuliawanaongoza ligi lakini