Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hakuna tatizo. Kufukuza na kuajiri kocha hakuna dirisha dogo wala deadline ya usajili kama wa Tuisila KisindaNa mwezi wa 10 msipokaa sawa mtamfukuza mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tatizo. Kufukuza na kuajiri kocha hakuna dirisha dogo wala deadline ya usajili kama wa Tuisila KisindaNa mwezi wa 10 msipokaa sawa mtamfukuza mwingine
Sijawahi kuacha kazi bwashee acha utoto.Unamuonea wivu? Acheni roho za korosho, fanyeni kazi zenu
Hamka man utakuja kujinyea kitandani...mchana wote huu unaota ndoto...Kwa timu hii Ulimboka kocha fundi ..
Yanga Mtakula 5
Kwani katika kuwaacha makocha hao, sababu iliyotolewa ni kufanya vibaya?Najiuliza tu kwani yeye huwa hahusiki na timu kufanya vibaya wakati ni sehemu ya bench la ufundi?
Makocha wazawa wana limit ya uwezo!Nashauri kwa dhati na moyo mkunjufu kama Matola vyeti vyake vinakidhi vigezo tumuachie timu.
Wachezaji wanampenda...
Extrovert asingepigwa ban angeshusha likes 100 kwenye hii hoja yako.CEO wetu anamadhaifu makubwa ila muda ukifika itafahamika tu,kwasasa ukilisema hilo aueleweki mpaka muda sahihi utakapofika.
Lakini kaka si mlimsajili phiri?Babra na watu wa usajili wana tatizo la ubahili , hawajui usajili ni kutoboka tu ,tumekaa msimu mzima hatuna striker wa maana baada ya Mugalu na Kagere kuflop...
Simba huwa hawaiangalii yanga, huwa wanaiangalia Al Ahly, Zamalek, Wydad, Raja, Esperance, Mamelodi, TP Mazembe na the likeSimba and wamechungulia wakaona derby ijayo tarehe 23 octoba wataoga nyingi kwa kocha huyu, wakajiwahi walah
Kwani Phiri ni mbaya? Si ana magoli mawili tayari?Lakini kaka si mlimsajili phiri?
Mngekua level hizo msingeshindwa kuvunja mkataba wa manzokiSimba huwa hawaiangalii yanga, huwa wanaiangalia Al Ahly, Zamalek, Wydad, Raja, Esperance, Mamelodi, TP Mazembe na the like
Wee ni mim kbsMwaka huu kazi ipo...huku simba kule chelsea ntakonda