Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Ikipata kocha fund..
Nakula 5..
Nabi hili analijua
 
Unamuonea wivu? Acheni roho za korosho, fanyeni kazi zenu
Sijawahi kuacha kazi bwashee acha utoto.
Najiuliza tu kwani yeye huwa hahusiki na timu kufanya vibaya wakati ni sehemu ya bench la ufundi?

Kama vipi si apewe ukocha mkuu?
 
Najiuliza tu kwani yeye huwa hahusiki na timu kufanya vibaya wakati ni sehemu ya bench la ufundi?
Kwani katika kuwaacha makocha hao, sababu iliyotolewa ni kufanya vibaya?
 
Nashauri kwa dhati na moyo mkunjufu kama Matola vyeti vyake vinakidhi vigezo tumuachie timu.
Wachezaji wanampenda...
Makocha wazawa wana limit ya uwezo!

Kuna baadhi ya mashindano kama yale ya CAF saikolojia ya wachezaji huathirika pale wanapokutana na timu ambayo kocha wake ni mzungu so unaweza kuta hilo tu likawaathiri kupambana kupata matokeo!

So nashauri Simba watafute kocha wa viwango hata vya kina Ibenge anaweza kutusogeza!
 
Hata uyo atakayekuja hatomaliza huu msimu tena tunamtaka kocha mpya kabla ya 23 october ili Mayele amfukuzishe
 

Attachments

  • Makolo.jpg
    Makolo.jpg
    14.2 KB · Views: 4
Aondoke tu. Makosa yamekuwa mengi.. kile kikosi cha hovyo dhidi ya Utopolo, Uchezaji wa hovyo Jumamosi, swala la Dejan, kuwaweka bench wachezaji wazuri kama Onyango, Okwa, Okrah, Akpan etc... hamna namna asepe tu
 
Simba and wamechungulia wakaona derby ijayo tarehe 23 octoba wataoga nyingi kwa kocha huyu, wakajiwahi walah
 
Babra na watu wa usajili wana tatizo la ubahili , hawajui usajili ni kutoboka tu ,tumekaa msimu mzima hatuna striker wa maana baada ya Mugalu na Kagere kuflop...
Lakini kaka si mlimsajili phiri?
 
Simba and wamechungulia wakaona derby ijayo tarehe 23 octoba wataoga nyingi kwa kocha huyu, wakajiwahi walah
Simba huwa hawaiangalii yanga, huwa wanaiangalia Al Ahly, Zamalek, Wydad, Raja, Esperance, Mamelodi, TP Mazembe na the like
 
Gomes,mmadrada na huyo mjomba ake dejan ni makocha 3 sasa makolo wanawatimua toka uwepo wa profesa Nabi pale Yanga africa(Wananchi),na hata anaekuja asibebe mabeg mengi
 
Back
Top Bottom