Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Nyumbu wamevamia uzi wanasahau hata al ahly wametimua kocha wao baada ya kudumu naye kwa miezi miwili tu club zenye malengo makubwa hazikai na makocha.
Azam wametimua kocha juzi kelele zilikuwa ndogo Simba kama timu Wana malengo yao
 
Babra ajitafakari pamoja na viongozi wa bodi Kuna makocha wengi wazuri mfano Le Chantel kama wanataka kufika mbali waache ubahilu
 
Pamoja na simba kuwa na mapungufu mengi lkn kuondoka kwake ni nafuu unaweka bench kapombe kisa mwenda , ila shida ya simba sio kocha ni viongozi kuanzia usajil wako kwa maana scouting , na uchaguzi wa makocha wanakosea sana
 
iInterview ya kumpata ilikuwa ya mkwara kweli kweli, tuliambiwa zaidi ya makocha 700 duniani kote😀😀😀😀😀
Wapuuzi tuu wanataka kufanya watu hawana akili. Timu yenye malengo ya kwenda champions league final wanakuwa wanajua the right man wanaemtaka. Hamna mambo ya cv. Ni suala lakusema tunamtaka mosimane kwisha.
 
Kwanza hako ka Matola hakana sifa ya kuwa kocha mkuu,pili kwenye uongozi ukiona unapendwa na wote ujue una shida.Kifupi Matola ni kirusi pale lunyasi
Nashauri kwa dhati na moyo mkunjufu kama Matola vyeti vyake vinakidhi vigezo tumuachie timu.
Wachezaji wanampenda.
Wachambuzi watakosa la kusema.
Pia Simba tutakuwa mfano wa kuingwa kuwaamini makocha wazawa.
 
Wapuuzi tuu wanataka kufanya watu hawana akili. Timu yenye malengo ya kwenda champions league final wanakuwa wanajua the right man wanaemtaka. Hamna mambo ya cv. Ni suala lakusema tunamtaka mosimane kwisha.
Hizi team zinaumiza kichwa sana usipokuwa nazo makini
 
Huifikirii Yanga mwezi ujao?
 
Kwanza hako ka Matola hakana sifa ya kuwa kocha mkuu,pili kwenye uongozi ukiona unapendwa na wote ujue una shida.Kifupi Matola ni kirusi pale lunyasi
Wanapenda sana kutuaminisha kuwa matola ndio kocha bora pale simba
 
Ingawa sijui sababu ya kutimuliwa ila alikuwa anatutia presha mashabiki. Kocha mzuri anajulikana kwenye Substitutions zake.
 
Kwa timu hii Ulimboka kocha fundi ..
Yanga Mtakula 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…