Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Kalpana njoo huku....naona mmefukuza kocha kwa sababu ya friendly match🤣🤣🤣🤣🤣
Yani nilikua sijaona ndo nimeikuta humu watu wamevimbaaa kama nini na hao hao walinanga usajili wake toka mwanzo.sasa ameondoka wanaanza tena oo Simba ooh nini yani sisi watz hatujui tunachotaka. Wasiemtaka kaondoka ni vzr na furaha pia maana hata mm sikua namwelewa
 
Sasa mkimleta mwengine naye itakuwaje? Manake ile timu aliye izoea Matola.
mkuu hawa makocha at least wanatakiwa wakae misimu miwili na zaidi ili kuunda kikosi imara ,cha kushangaza Simba wanaleta makocha wa ajabu ,halafu wanamwekea malengo makubwa,Simba wachezaji wanao ,nakuambia wachezaji wale wakipata kocha mzuri au timu iliyounganika tayari na ipo kwenye mfumo utawaona walivyo wazuri,chama mzuri ,Shabalala,Kapombe,Manula ,mkude ,Phiri,Okrah ,Okwa ,Ottara ,Sakho ,hata Akpan unamfahamu,timu ikishakuwa na wachezaji zaidi ya 8 wakali ishakamilika ishu ni muunganiko tu
 
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Nguvu 1, unstoppable!!!!
 
Ukitoa AZAM timu zingine zote hawana team management vile inavyopaswa..tatizo linaanzia hapo, unaleta mwalimu wakati wasimamizi wa kazi yake ni vishoka unatarajia nini? Kwanza anawadharau, pili atakuwa anaamua anavyotaka yeye ndio yaliyotokea simba..kujua kuongea sana si kujua sayansi ya futbal..watanzania maneno mengi ya ujuaji sawa na urefu wa pua, kuanzia tff, wizara, klabu hadi umitashumta!
 
Sasa hivi wanatembelea draw ya yanga, matatizo yao wamesha ya sahau.

Vp ndugu zangu wa Simba sasa jamaa ataondoka na mjomba wae au atabaki hapa hapa?
 
Hao azam wenyewe management yao shida tuu. Yani kweli wee na akili zako utaleta kocha alafu unampa mkataba wa mwaka mmoja and u say seriously unataka fanya mambo ya maana. Tusidanganyane hapo
 
Kocha wa mkataba wa mwaka ni wa mchongo. Kocha wa kukupeleka final unue anataka contract ya miaka mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…