Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Phiri hatoshiLakini kaka si mlimsajili phiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phiri hatoshiLakini kaka si mlimsajili phiri?
Yani nilikua sijaona ndo nimeikuta humu watu wamevimbaaa kama nini na hao hao walinanga usajili wake toka mwanzo.sasa ameondoka wanaanza tena oo Simba ooh nini yani sisi watz hatujui tunachotaka. Wasiemtaka kaondoka ni vzr na furaha pia maana hata mm sikua namwelewaKalpana njoo huku....naona mmefukuza kocha kwa sababu ya friendly match🤣🤣🤣🤣🤣
Yanga watufunge au wasitufunge tushazoea kwa ajili ya upumbavu wa viongozi wa simbaHuifikirii Yanga mwezi ujao?
Sasa mkimleta mwengine naye itakuwaje? Manake huyu Haa hata miezi miwili.lakini afadhali kocha aondoke kuliko kutuongezea mzigo
mkuu hawa makocha at least wanatakiwa wakae misimu miwili na zaidi ili kuunda kikosi imara ,cha kushangaza Simba wanaleta makocha wa ajabu ,halafu wanamwekea malengo makubwa,Simba wachezaji wanao ,nakuambia wachezaji wale wakipata kocha mzuri au timu iliyounganika tayari na ipo kwenye mfumo utawaona walivyo wazuri,chama mzuri ,Shabalala,Kapombe,Manula ,mkude ,Phiri,Okrah ,Okwa ,Ottara ,Sakho ,hata Akpan unamfahamu,timu ikishakuwa na wachezaji zaidi ya 8 wakali ishakamilika ishu ni muunganiko tuSasa mkimleta mwengine naye itakuwaje? Manake ile timu aliye izoea Matola.
Hao azam wenyewe management yao shida tuu. Yani kweli wee na akili zako utaleta kocha alafu unampa mkataba wa mwaka mmoja and u say seriously unataka fanya mambo ya maana. Tusidanganyane hapoUkitoa AZAM timu zingine zote hawana team management vile inavyopaswa..tatizo linaanzia hapo, unaleta mwalimu wakati wasimamizi wa kazi yake ni vishoka unatarajia nini? Kwanza anawadharau, pili atakuwa anaamua anavyotaka yeye ndio yaliyotokea simba..kujua kuongea sana si kujua sayansi ya futbal..watanzania maneno mengi ya ujuaji sawa na urefu wa pua, kuanzia tff, wizara, klabu hadi umitashumta!
Kocha wa mkataba wa mwaka ni wa mchongo. Kocha wa kukupeleka final unue anataka contract ya miaka mitatumkuu hawa makocha at least wanatakiwa wakae misimu miwili na zaidi ili kuunda kikosi imara ,cha kushangaza Simba wanaleta makocha wa ajabu ,halafu wanamwekea malengo makubwa,Simba wachezaji wanao ,nakuambia wachezaji wale wakipata kocha mzuri au timu iliyounganika tayari na ipo kwenye mfumo utawaona walivyo wazuri,chama mzuri ,Shabalala,Kapombe,Manula ,mkude ,Phiri,Okrah ,Okwa ,Ottara ,Sakho ,hata Akpan unamfahamu,timu ikishakuwa na wachezaji zaidi ya 8 wakali ishakamilika ishu ni muunganiko tu