Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mkuu, najua machungu uliyonayo, embu nenda kwa Muha hapo mwambie akupatie sigara tatu na njiti za kuwashia nitakuja kulipaMkuu, hivi ulikuwa unaangalia mechi gani. Simba na Yanga wamelazana wapi? Maanake mechi ya mwisho niliyo angalia. Wacha tu nikae kimya.
Mwenye lighter hapo afanye kunisambazia niwashe kifegi.