Simba yawalaza vibaya Utopolo

Simba yawalaza vibaya Utopolo

Wa kimataifa , unbeaten, 🤣🤣🤣

Wafuasi wa Uto ambao ni wafuasi wa cr7 kuna goli 700 kule . Tuombe goli 5 za mkopo tuzipeleke Sudani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Mkuu, hivi ulikuwa unaangalia mechi gani. Simba na Yanga wamelazana wapi? Maanake mechi ya mwisho niliyo angalia. Wacha tu nikae kimya.

Mwenye lighter hapo afanye kunisambazia niwashe kifegi.
 
Mkuu, hivi ulikuwa unaangalia mechi gani. Simba na Yanga wamelazana wapi? Maanake mechi ya mwisho niliyo angalia. Wacha tu nikae kimya.

Mwenye lighter hapo afanye kunisambazia niwashe kifegi.
Mkuu, najua machungu uliyonayo, embu nenda kwa Muha hapo mwambie akupatie sigara tatu na njiti za kuwashia nitakuja kulipa
 
Back
Top Bottom