Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Matarajio yote ya Wanajangwani angalau ya kupata usingizi mnono uliokataa jana yamewekwa rehani tena baada ya wanajeshi wa Angola kubanguliwa kama korosho na mnyama kwa goli 3 kwa 1 kule Luanda.
Wafungwe wajedu kule Angola waumie vyura wa Tanzania!
Nguu moyaa.
Wafungwe wajedu kule Angola waumie vyura wa Tanzania!
Nguu moyaa.