mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake
Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates