Simba yawaomba mashabiki wa Raja Casablanca wajitokeze kuja kuwaunga mkono

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake

Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
 
Bila kuweka link wewe ni msengerema tu.kamwe simba haiwezi fikia hatua iyo
 
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake

Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
Huu unaitwa ushabiki mandazi
 
Simba safari hii sijajua watakuja na surprise Ipi maana Ile ya kuwasha moto uwanjani Tena ugenini ilinishangaza sana.
 
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake

Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
Ukichaa huanzia pale unapofanya mambo yasiyo ya kawaida. Maana yake akili inatengeneza seli za ubongo kengeufu. Unachekea upumbav ulioutengeneza mwenyewe ukidhani jambo tamu na zuri na halisi sawa na vile unaokota mkate jalalani ukidhani ni unachukua dukani kwa Mangi.

Unaweza kuwahi Milembe pale Dodoma wana dozi yao ile ya ku-format au kufuta kumbukumbu zote za kipumbav au njema. Yaani hapo unasahau hadi chupi au jina lako.

Kwa akili hiyo bora waku-format uanze upya
 
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake

Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
Ushabiki usivuke mipaka..huu ni uchawi,husda,roho mbaya iliopitiliza kuwaombea watanzania wenzako mabaya..kuna ile kutania mara moja lakini ww ni kina LABAN og kutwa kucha ni Simba hivi Simba vile..nyie hata majumbani kwenu mtakua waume wenye gubu..
 
Baada ya kukamatwa wakiwanga kule south Afrika Sasa wanaomba washabikiwe na raja?? Rage aliona mbali
 
Back
Top Bottom