Simba yawaomba mashabiki wa Raja Casablanca wajitokeze kuja kuwaunga mkono

Simba yawaomba mashabiki wa Raja Casablanca wajitokeze kuja kuwaunga mkono

Ukichaa huanzia pale umapofanya mambo yasiyo ya kawaida. Maana yake inatengeneza seli za ubongo kengeufu. Unachekea upumbav ukidhani jambo tamu na zuri kama kuokota mkate jalalani ukidhani ni dulani kwa Mangi.

Unaweza kuwahi Milembe pale Dodoma wana dozi yao ile ya ku-format au kufuta kumbukumbu zote za kipumbav au njema. Yaani hapo unasahau hadi chupi au jina lako.

Kwa akili hiyo bora waku-format uanze upya
[emoji706][emoji706]
 
Ushabiki usivuke mipaka..huu ni uchawi,husda,roho mbaya iliopitiliza kuwaombea watanzania wenzako mabaya..kuna ile kutania mara moja lakini ww ni kina LABAN og kutwa kucha ni Simba hivi Simba vile..nyie hata majumbani kwenu mtakua waume wenye gubu..
[emoji706][emoji706]
 
Kuwa na hela na kuwa na akili Bora nini
IMG_20230426_222051.jpg
 
Simba ni wakuwaombea tu, maana kipigo watakachopigwa sio cha Dunia hii

FT: Wydad 17-0 simba
Hao jf wanayataka wenyewe maana kama uzi kama huu unaachwa kwa masa zaidi ya 20 unategemea wajinga jinga kama mtoa uzi wataacha kupost?

Ndio mana wakongwe wengi wapo deactive hawachangii tena. Sema tu ni vile hamnaga option ya kudelete account watu wanachomoka kimya kimya.

Maana huu uzi ilibidi mleta mada aweke reliable source sio kuhemka hemka tu kiushabiki wa huko machokoloni kwao.
 
Back
Top Bottom