mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #21
[emoji706][emoji706]Ukichaa huanzia pale umapofanya mambo yasiyo ya kawaida. Maana yake inatengeneza seli za ubongo kengeufu. Unachekea upumbav ukidhani jambo tamu na zuri kama kuokota mkate jalalani ukidhani ni dulani kwa Mangi.
Unaweza kuwahi Milembe pale Dodoma wana dozi yao ile ya ku-format au kufuta kumbukumbu zote za kipumbav au njema. Yaani hapo unasahau hadi chupi au jina lako.
Kwa akili hiyo bora waku-format uanze upya