mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Bila kuweka link wewe ni msengerema tu.kamwe simba haiwezi fikia hatua iyoUkisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake
Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
mashabiki wa Simba Wana hasira siku mbili hizi
Huu unaitwa ushabiki mandaziUkisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake
Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
Ukichaa huanzia pale unapofanya mambo yasiyo ya kawaida. Maana yake akili inatengeneza seli za ubongo kengeufu. Unachekea upumbav ulioutengeneza mwenyewe ukidhani jambo tamu na zuri na halisi sawa na vile unaokota mkate jalalani ukidhani ni unachukua dukani kwa Mangi.Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake
Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
Ushabiki usivuke mipaka..huu ni uchawi,husda,roho mbaya iliopitiliza kuwaombea watanzania wenzako mabaya..kuna ile kutania mara moja lakini ww ni kina LABAN og kutwa kucha ni Simba hivi Simba vile..nyie hata majumbani kwenu mtakua waume wenye gubu..Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia timu mgeni, pia hao raja wenyewe nao shughuli yao ni kama imeshaisha, kwaio maiti hawezi kumwongezea damu maiti mwenzake
Kiama chao ni keshokutwa tu ijumaa saa 3.00 usiku.. usikae mbali kwa live updates
Huwa unawashwa nini kuchangia Uzi wa mwarabu fekiNIMEAMINI KICHAA SIO LAZIMA AOKOTE MAKOPO.
AIBU NAONA MIMI.
KWELI UJINGA NI KIPAJI
Subili Asubuhi kesho utaiona hii habari kwenye main stream media. Hizi ni za ndani kabisaaBila kuweka link wewe ni msengerema tu.kamwe simba haiwezi fikia hatua iyo
Wewe nae ni msomi?Jamii forum INAZIDI kuumizwa na watu aina YENU.
Fom the great thinkers Hadi 0
Pole sana Jamii Forum kwa mateso makali.
JAMII FORUM KUTOKA JUKWAA LA WASOMI WEREVU HADI MAZIRO.