Simba yawaomba mashabiki wa Raja Casablanca wajitokeze kuja kuwaunga mkono

[emoji706][emoji706]
 
Ushabiki usivuke mipaka..huu ni uchawi,husda,roho mbaya iliopitiliza kuwaombea watanzania wenzako mabaya..kuna ile kutania mara moja lakini ww ni kina LABAN og kutwa kucha ni Simba hivi Simba vile..nyie hata majumbani kwenu mtakua waume wenye gubu..
[emoji706][emoji706]
 
Simba ni wakuwaombea tu, maana kipigo watakachopigwa sio cha Dunia hii

FT: Wydad 17-0 simba
Hao jf wanayataka wenyewe maana kama uzi kama huu unaachwa kwa masa zaidi ya 20 unategemea wajinga jinga kama mtoa uzi wataacha kupost?

Ndio mana wakongwe wengi wapo deactive hawachangii tena. Sema tu ni vile hamnaga option ya kudelete account watu wanachomoka kimya kimya.

Maana huu uzi ilibidi mleta mada aweke reliable source sio kuhemka hemka tu kiushabiki wa huko machokoloni kwao.
 
Simba safari hii sijajua watakuja na surprise Ipi maana Ile ya kuwasha moto uwanjani Tena ugenini ilinishangaza sana.
Surprise? ulitaka kumanishaje hapo bwashee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…