Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hueleweki. Kila msimu ni msimu Mpya. Unataka kusema hao CBE ni bora kuliko Al Ahly Tripoli?Unadhani Kwann Simba alikandwa 5G na Yanga
Lkn CBE wamekandwa 1
Alafu we jamaa ndio una Masters kweli wewe???π€£π€£π€£Stuti lililolenga lango
We ni mtoto mdogo unatutia hasira Baba zako humu huna ulijualoMakolo wanasababisha hasira mkuu
Hicho kiingereza cha vidimbwini usilete hapa.Stuti lililolenga lango
Ni Master wa Taekwendo...ππππAlafu we jamaa ndio una Masters kweli wewe???π€£π€£π€£
Kudanga Chupi MkononiMakolo hii aibu kubwa .....dk 90 bila shoot on target.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa uwanjani mlienda kufanya nn
Exactly.... that's y wapo CAF champions (league.......ligi ya Mabingwa) najua ulikimbia umande/ shuleHueleweki. Kila msimu ni msimu Mpya. Unataka kusema hao CBE ni bora kuliko Al Ahly Tripoli?
Aisee!!Exactly.... that's y wapo CAF champions (league.......ligi ya Mabingwa) najua ulikimbia umande/ shule
Al ahly tripoli wapo loser cup ( kombe la waliofeli)
So Kwa kigezo hiki CBE ni wazuri zaidi ya Simba , al ahly tripoli
Hata akinywa vile vipombe vinaitwa "Master" napo anakua kajitwalia master kichwani.Ni Master wa Taekwendo...ππππ
Kapakwapakwa hajakojolewaHii ni aibu Kwa taifa
ππππHata akinywa vile vipombe vinaitwa "Master" napo anakua kajitwalia master kichwani.
sawa na nyie chukueni clip za simba akiwa anacheza na giant kama Al Ahly alafu mkaongezee nyama ili mfike mbali zaidi ,kama mtakaza vichwa basi tutarudi kwenye ile kauli ya mzunguZa huku club bingwa msiangalie .....mtakuwa overdose
Chukueni zile mech za Yanga akiwa shirikisho.....ndo mjifunze nazo
Yanga kashafika mbali zaidi ya Makolo.....sawa na nyie chukueni clip za simba akiwa anacheza na giant kama Al Ahly alafu mkaongezee nyama ili mfike mbali zaidi ,kama mtakaza vichwa basi tutarudi kwenye ile kauli ya mzungu