Simba yaweka record duniani dk 90 bila shoot on target

Simba yaweka record duniani dk 90 bila shoot on target

Hueleweki. Kila msimu ni msimu Mpya. Unataka kusema hao CBE ni bora kuliko Al Ahly Tripoli?
Exactly.... that's y wapo CAF champions (league.......ligi ya Mabingwa) najua ulikimbia umande/ shule

Al ahly tripoli wapo loser cup ( kombe la waliofeli)

So Kwa kigezo hiki CBE ni wazuri zaidi ya Simba , al ahly tripoli
 
Za huku club bingwa msiangalie .....mtakuwa overdose

Chukueni zile mech za Yanga akiwa shirikisho.....ndo mjifunze nazo
sawa na nyie chukueni clip za simba akiwa anacheza na giant kama Al Ahly alafu mkaongezee nyama ili mfike mbali zaidi ,kama mtakaza vichwa basi tutarudi kwenye ile kauli ya mzungu
 
sawa na nyie chukueni clip za simba akiwa anacheza na giant kama Al Ahly alafu mkaongezee nyama ili mfike mbali zaidi ,kama mtakaza vichwa basi tutarudi kwenye ile kauli ya mzungu
Yanga kashafika mbali zaidi ya Makolo.....

Always baba Hana Cha kujifunza Kwa mtoto[emoji23][emoji23]

Yanga ijifunze Kwa timu insyoshindwa hata kulenga goli[emoji32][emoji32]
 
Back
Top Bottom