christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Cha ajabu kuna watanzania wachache watachukia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa jf bwana" haichoshiKweli watanzania wengi wanaumwa. Kupanda ndege ni habari? Nilidhani Simba nao wamenunua ndege. Haina tofauti kuingia kijijini na Gari aina ya Starlet kijiji kizima wanaikimbiza.
Alichosema Aden Rage miaka nyuma kuhusu Mashabikì wa Simba ni sahihi kabisa
Yanga chezeni tatu mzuka muiokoe timu yenu izi kelele zinawapotezea mda.Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.
Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahaaaa. Mbona una hasira wakati uzi wenu huu. Tetea mlichokileta kinastahili kuwepo humu?Yanga chezeni tatu mzuka muiokoe timu yenu izi kelele zinawapotezea mda.
Hahaaaa. Empty set lol.Alichosema Aden Rage miaka nyuma kuhusu Mashabikì wa Simba ni sahihi kabisa
Usiku bongo upo majulubani ulaya upo Asernal...[emoji33]Hahaaaa. Mbona una hasira.
Sasa hapa nani ana kelele kati ya mie na wewe?
Bado sijajua kati ya mm na hajar nani aliekuja na hasira za kuipondea simba baada ya kushuka kwenye dreamliner.Hahaaaa. Mbona una hasira.
Sasa hapa nani ana kelele kati ya mie na wewe?
Hahaaa. Umejua kunishtua nilivyoona quote yako basi nikajua bonge ya shushu.Usiku bongo upo majulubani ulaya upo Asernal...[emoji33]
Ila nimeongelea kitu cha msingi Mtani.Bado sijajua kati ya mm na hajar nani aliekuja na hasira za kuipondea simba baada ya kushuka kwenye dreamliner.
Punguza jasba mtani wangu kipenzi!