Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Rekodi ya dunia!? Uko serious mkuu na hili neno?😀😀
 
Wengine humu ROHO INAWAUMA KWELI KUIONA HII NDEGE leo ipo angani...Na bado nyie endeleeni kutafuta mapungufu kwa tochi
 
Wawape jeshi tu watu waache kuisemasema, kama ilivyokuwa mv bagamoyo
 
Kweli watanzania wengi wanaumwa. Kupanda ndege ni habari? Nilidhani Simba nao wamenunua ndege. Haina tofauti kuingia kijijini na Gari aina ya Starlet kijiji kizima wanaikimbiza.
hahaa jf bwana" haichoshi
 
Yanga chezeni tatu mzuka muiokoe timu yenu izi kelele zinawapotezea mda.
 
Wekundu msimbazii,,,,,
KAMA SIO SIMBA POTEZEA,,
Vyura naonaa Povu za Takasa zinawatoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji125][emoji125]
 
Hahaaaa. Mbona una hasira.

Sasa hapa nani ana kelele kati ya mie na wewe?
Bado sijajua kati ya mm na hajar nani aliekuja na hasira za kuipondea simba baada ya kushuka kwenye dreamliner.

Punguza jasba mtani wangu kipenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…