Yanga mtakuwa mbali sana sisi simba tukija kushitukaHuu ndio upuuzi tunao jivunia nao, mpaka ukija kuamka na kugundua kua Mataji ni muhimu kuliko pasi...wenzetu watakuwa mbali sana.
Kumbuka hili ni kombe la Azam Sports Federation Cup, na kama ni mataji, anayelishikilia ni huyu huyu Simba anayepiga pasi 800+Huu ndio upuuzi tunao jivunia nao, mpaka ukija kuamka na kugundua kua Mataji ni muhimu kuliko pasi...wenzetu watakuwa mbali sana.
Hakuna bingwa wa kihistoria, ila kupiga pasi ni moja ya mbinu za kumiliki mpira. Fikiria mtu yupo nyuma kwa bao 2-0 halafu anahaha kuutafuta mpira ulipo, hayo ni mateso makubwa Simba inayatoa, na matokeo yake anayetafuta mpira anajikuta anapigwa lingineKwa tafsiri nyingine ni kwamba Simba nayo ni Bingwa wa kihistoria wa kupiga pasi nyingi hapa Tanzania Bara..
Katika mechi ya Simba vs Dodoma Jiji, timu ya Simba ilipiga jumla ya pasi 873 na kati ya hizo, pasi 730 zilifika zilikopangwa kwenda. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Anwar Binda wa Wasafi FM wakati akichambua mechi hiyo, na kusema tangu aanze kuchambua mechi za VPL na ASFC za timu za Tanzania Bara, hakumbuki kama kuna timu imewahi kupiga idadi kubwa ya pasi kama hizo.
Hongera wazee wa Lunyasi kwa kuleta mapinduzi ya burudani katika
Hiyo ilitokana na yale majimaji yaliyomwagwa vyumbani. Yale maji yalitumika pia kwenye game ya Kaiza.Hakuna bingwa wa kihistoria, ila kupiga pasi ni moja ya mbinu za kumiliki mpira. Fikiria mtu yupo nyuma kwa bao 2-0 halafu anahaha kuutafuta mpira ulipo, hayo ni mateso makubwa Simba inayatoa, na matokeo yake anayetafuta mpira anajikuta anapigwa lingine
Mataji gani tena..Hayo mataji muhimu kwa Simba tu, Yanga mwaka wa ngapi hajui VPL wala ASFCHuu ndio upuuzi tunao jivunia nao, mpaka ukija kuamka na kugundua kua Mataji ni muhimu kuliko pasi...wenzetu watakuwa mbali sana.