Simba yaweka rekodi ya timu za Bara kwa kupiga pasi 873

Simba yaweka rekodi ya timu za Bara kwa kupiga pasi 873

Hiyo ilitokana na yale majimaji yaliyomwagwa vyumbani. ...
Fuatilia baada ya mechi... hakuna kiongozi au mchezaji yeyote wa Dodoma Jiji aliyelalamikia au kuzungumzia kitu hicho, ni uzushi tu. Kuna timu inajenga mazingira ya kukwepa kucheza na Simba kwa kutengeneza vitukio kama hivi. Badala ya kulalamika, makocha wa timu zilizocheza na Simba msimu huu wamesema hivi:

1622183916408.png
 
Huu ndio upuuzi tunao jivunia nao, mpaka ukija kuamka na kugundua kua Mataji ni muhimu kuliko pasi...wenzetu watakuwa mbali sana.
Hao wenzetu akina Nani??? Kombe labda waliibe
 
Sasa kama Tff yenu,wizara ya michezo yenu kwanini msiwe na uwezo wa kupiga pasi nyingi. Tangu mechi yenu na yanga isogezwe mbele pasipo taarifa ya msingi nimeamini mnabebwa kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom