Fuatilia baada ya mechi... hakuna kiongozi au mchezaji yeyote wa Dodoma Jiji aliyelalamikia au kuzungumzia kitu hicho, ni uzushi tu. Kuna timu inajenga mazingira ya kukwepa kucheza na Simba kwa kutengeneza vitukio kama hivi. Badala ya kulalamika, makocha wa timu zilizocheza na Simba msimu huu wamesema hivi:
Sasa kama Tff yenu,wizara ya michezo yenu kwanini msiwe na uwezo wa kupiga pasi nyingi. Tangu mechi yenu na yanga isogezwe mbele pasipo taarifa ya msingi nimeamini mnabebwa kwa nguvu zote