Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hakuna Pisi Kali hata mmoja wa haja?Klabu ya Simba leo hii imezindua jezi kwa ajili ya mashindano ya African Football League yanayotarajiwa kuanza 20/10/2023 na mechi ya ufunguzi itakuwa ni Simba SC vs National Al Ahly kwenye dimba la Benjamin Mkapa
Vipi, umeuonaje uzi?
View attachment 2779821
View attachment 2779822View attachment 2779823
Aisee mi nimechoka kuamulizia!Za Yanga zi wapi?
mnajitia gharama za bure mkae mkijua mtacheza mechi mbili tu nyie makolo kwenye hiyo ligi ya majaribio
ok guvu mojaSawa Dem girl
Kwa kuwa damu yako ni chafu, sasa utapendaje vitu vyekundu wkti muda wte vinakukumbusha mauti yako!Yan sijui kwa nini mimi rangi ikishakua nyekundu naona ni kama uchafu tu. Usininukuu vibaya siipendi rangi nyekundu kwa hiyo mi naona ni maonesho ya nguo za kawaida kwa wanaopenda izo rangi
Naunga mkono hoja 👍👏Kilichobadika na toleo LA mwanzo n hiyo Simba [emoji739] Alahly bac akuna maajabu
Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja 👍👏Ubunifu 000000000000000000
Ha ha haMbona hakuna Pisi Kali hata mmoja wa haja?
Anyway, hata hivyo Pisi Kali wenye sura za Baba huwa smart sana vichwani.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app