Sasa utafananisha na jezi zenye matairi ubavuni?Mbona hakuna jipya? Kwahiyo Simba ndio mmekubali kabisa kwamba mmeshindwa kwenye ubunifu wa jezi?
BTW mtoto wa mama mkwe hii haipo kwenye yale makubaliano yetu… sikununulii, Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utafananisha na jezi zenye matairi ubavuni?Mbona hakuna jipya? Kwahiyo Simba ndio mmekubali kabisa kwamba mmeshindwa kwenye ubunifu wa jezi?
BTW mtoto wa mama mkwe hii haipo kwenye yale makubaliano yetu… sikununulii, Lol
Hakuna mibonge nyanya iliyovaa nusu uchi kama jiraniKlabu ya Simba leo hii imezindua jezi kwa ajili ya mashindano ya African Football League yanayotarajiwa kuanza 20/10/2023 na mechi ya ufunguzi itakuwa ni Simba SC vs National Al Ahly kwenye dimba la Benjamin Mkapa
Vipi, umeuonaje uzi?
View attachment 2779821
View attachment 2779822View attachment 2779823
Sasa ubavuni kuna shida gani? Utafananisha na nyie wenye Mo kwenye makalio? Halafu anapenda kweli kujiweka hapo na nyie mnavaa tu kama mazuzu.Sasa utafananisha na jezi zenye matairi ubavuni?
Kwenye hiyo bilioni 5.8 mliyopewa, wewe kama wewe! mgao wako ni shilingi ngapi? Eti tumepewa!! Hela anaenda kufaidi Mudi, na wewe mwenzangu na mimi unajitutumua!!nyie utopolo hamchezi kabisa maana CAF haiwatambui 😁. Hatuhofii gharama maana tumepewa 5.8B za vitu vidogodogo kama hivyo 😁
Dah! Basi acha tu nipite bila kusema sana. Maana haya sasa ni majaribu mazito sana kwetu sisi Wanasimba kindakindaki. Navumilia.Sasa ubavuni kuna shida gani? Utafananisha na nyie wenye Mo kwenye makalio? Halafu anapenda kweli kujiweka hapo na nyie mnavaa tu kama mazuzu.
Of all places ktk jezi anajiweka pa kukalia? Maajabu hayaishi!
mnajitia gharama za bure mkae mkijua mtacheza mechi mbili tu nyie makolo kwenye hiyo ligi ya majaribio
Nikuambie ukweli, ningeweka kibunda kwenye post uliyoreply leo ningepiga hela ndefu sana.Dah! Basi acha tu nipite bila kusema sana. Maana haya sasa ni majaribu mazito sana kwetu sisi Wanasimba kindakindaki. Navumilia.
Kwani jezi zetu zimewakosea nini ninyi watu? Zile jezi zenu za kupauka kwa fuo moja tu, mbona sisi tuliacha mwende nazo tu hivyohivyo?
Ova
Nikuambie ukweli, ningeweka kibunda kwenye post uliyoreply leo ningepiga hela ndefu sana.
Nilijua huwezi kuvumilia hii!
Nimecheka sana, umenasa kwenye mtego, Lolz
Aisee
Mbona makasiriko ndugu?mnajitia gharama za bure mkae mkijua mtacheza mechi mbili tu nyie makolo kwenye hiyo ligi ya majaribio
Ulitaka maajabu ya jua kutoka magharib kwenda mashark ktk JEZ?Kilichobadika na toleo LA mwanzo n hiyo Simba [emoji739] Alahly bac akuna maajabu
Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app