Simba yazindua Jezi mpya kuelekea African Football League

Mbona hakuna Pisi Kali hata mmoja wa haja?

Anyway, hata hivyo Pisi Kali wenye sura za Baba huwa smart sana vichwani.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yan sijui kwa nini mimi rangi ikishakua nyekundu naona ni kama uchafu tu. Usininukuu vibaya siipendi rangi nyekundu kwa hiyo mi naona ni maonesho ya nguo za kawaida kwa wanaopenda izo rangi
 
Wame tumia pisi gani izo kutangaza jezi kama moja
 
Mbona hakuna jipya? Kwahiyo Simba ndio mmekubali kabisa kwamba mmeshindwa kwenye ubunifu wa jezi?

BTW mtoto wa mama mkwe hii haipo kwenye yale makubaliano yetuโ€ฆ sikununulii, Lol
 
Jezi hazina ubunifu kabisa ๐Ÿคฃ zipo hovyo kama kanga za mganga wa kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ