Na chura wako naye nimembambikiza?🤣🤣🤣😂😂😂😂😂hee babu sio kwa kitambi hicho
Ila haifanyi kazi bado,wataalamu wao waiangalieMkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform
kupitia app hii utapata
matokeo ya mechi
taarifa mbalimbali za club
usajili
mechi live hii wanaanza na hii ya leo
na mengineyo mengi ....
utailipia buku mbili kwa mwezi ,
Ok asanteMkuu labda wapakuaji wengi inafanya kaziView attachment 1909537
Na ajiandae kisaikolojiahuu ugomvi sasa
Hahahahaa, babu...Kama tulivyowaiga kwenda Morocco lakini hela zikatuishia tukarudi zetu kidimbwini kucheza chandimu na kina IHEFU...
Siyo kwamba hawakuwa na app Bali hii imeboreshwa.Mkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform
kupitia app hii utapata
matokeo ya mechi
taarifa mbalimbali za club
usajili
mechi live hii wanaanza na hii ya leo
na mengineyo mengi ....
utailipia buku mbili kwa mwezi ,
Na chura wako naye nimembambikiza?🤣🤣🤣
ufanye mazoezi ya kupunguza zigo lakini