Simba yazindua Simba App

Simba yazindua Simba App

Mkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform
kupitia app hii utapata
matokeo ya mechi
taarifa mbalimbali za club
usajili
mechi live hii wanaanza na hii ya leo
na mengineyo mengi ....

utailipia buku mbili kwa mwezi ,
Ila haifanyi kazi bado,wataalamu wao waiangalie

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
IMG_0092.png
 
Mkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform
kupitia app hii utapata
matokeo ya mechi
taarifa mbalimbali za club
usajili
mechi live hii wanaanza na hii ya leo
na mengineyo mengi ....

utailipia buku mbili kwa mwezi ,
Siyo kwamba hawakuwa na app Bali hii imeboreshwa.
 
Back
Top Bottom