OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
achenooo nasikia wamerudii jana
Yanga App ipo kitambo sana na inafanya vizuri sana. Ni mojawapo ya chanzo cha mapato ya Club.Kama mtani anayo iko wapi?
Hipo mi nimewah kuiona na nilimuunganisha mtu pia wanalipia 1000
Hipo❌
Ipo✔
wewe ni shoga??
Hongereni sana kwa hilo.Yanga App ipo kitambo sana na inafanya vizuri sana. Ni mojawapo ya chanzo cha mapato ya Club.
Halaf sio hii mkuu
Chonde chonde msisahau kumpa Manara 7k yake mwezi huu.Kama tulivyowaiga kwenda Morocco lakini hela zikatuishia tukarudi zetu kidimbwini kucheza chandimu na kina IHEFU...
InaitwajeHalaf sio hii mkuu
Simba #nguvumoja app developers ni hebet technologiesInaitwaje
Walimpa make jana katoa msaada kwa mshahara wa mwezi wa sabaChonde chonde msisahau kumpa Manara 7k yake mwezi huu.
Tumezindua App ambayo haifanyi kazi, ujinga mtupu
Nadhani ipo daraja la 3 lakini tumefanya nao mazoezi.Hivi hiyo timu Khouriba iliyocheza na Simba wasifu wake upoje?