Simba yazindua Simba App

Simba yazindua Simba App

Haifunguki

Screenshot_2021-08-26-20-13-01-196_com.simbasc.ssc.jpg
 
Tumezindua App ambayo haifanyi kazi, ujinga mtupu
 
Hivi hiyo timu Khouriba iliyocheza na Simba wasifu wake upoje?
 
Chonde chonde msisahau kumpa Manara 7k yake mwezi huu.
Walimpa make jana katoa msaada kwa mshahara wa mwezi wa saba

Labda kama anadai kiinua mgongo...notisi na malipo ya likizo awaone labour wamsaidie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom