Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Unfananisha vitu viwili tofauti rejea timu ya senegal ilikuwa na watu gan na simba ima watu gan
Wale wa Senegal walikua level yakina zidane na Henry, we unazani walikua rank moja ? Suala ni kupambana tuu
 
Kichwa chako kimejaa KAMASI
 
Simba ni baba yako peke yako
 
Same like you..you are a rubbish
 
Hakuna spirit ya upambanaji,hivi hata kumuanzisha Bocco sijui Kocha alikuwa naaana gani[emoji848]
Yaani mpaka nimeshangaa Bocco kucheza kipindi kizima huku akiwa Hana madhara yoyote kwa adui dah. Vitu vingine tunajitakia wenyewe, kila siku itakuwa robo fainali🙌
 
Lakred ayoub mdaka panzi usajili 3bn
 
Watabaki kusema inshallah allah hakutaka

Hiyo inshallah ni kwao tu siku zote

Mpunga Kama wote uliowekwa unapata goli kama like dakika ya Sabin kweli mnashindwa kufia uanjani…..
FAaaq off hili timu hakina watu wenye akili
Mamelod mwenyewe tangu 2016 (miaka 8) anaishia robo kama kawaida licha ya kuwa na kikosi cha mabilioni, seuze Simba Sc iliyopiga hatua kutoka kwenye kuwa underdog.?

Iko hivi hata team zote ziwe na wachezaji hatari, bado mshindi wa kombe ni mmoja tu.
 
Weka matokeo ya timu yako dhidi ya Al-Ahly Kwanza.
Ukinionyesha umewahi kufunga goli zaidi ya moja nahamia timu yako leo leo. Au umewahi kupata draw Cairo nanunua hadi jezi.

Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…