Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Katika vitu napenda ni jinsi unavyoujua mpira. Hapa kama siyo mtu wa soka anayelijua soka huwezi kuwa comment kama hii. Unajua sana mpira b....

Ova
We mjinga nimechekaaaaaa.
Thanks h...
 
Safari hii wakisema wamekufa kiume ni haki. Kushindwa kikanuni mbele ya timu bora Afrika sio jambo rahisi.
Na power dynamo pia walishindwa kikanuni ndio maana mlifuzu makundi bila kanuni mngekuwa nje ya michuano ivyo kanuni mziheshimu zimewanusuru kuangukia pua!
 
We mjinga nimechekaaaaaa.
Thanks h...
Umefanya na mimi nicheke pia, japo sijui kilichofanya ucheke hivyo. Labda nikuombe nije PM unishirikishe nijue na mimi nipate kucheka vizuri.

Karibu b....

Ova
 
Ungesema Simba inahitaji kusajili wachezaji wa kuamua matokeo katika mechi ngumu za kimataifa sababu uzoefu upo huenda ungeeleweka.

BABA yako akikupa ugali maharage shukuru sio unaanza kuuliza kwanini hatuli kuku ilihali unajua mzee bajeti haipo sawa kununua kuku. Simba ni baba hapa East Africa, anafanya vitu ambavyo wengine wameshindwa, inatakiwa itenge fungu la usajili la uhakika la wachezaji wanaoweza amua mechi ngumu za kimataifa. Uwe na shukrani KWA BABA YAKO.
Makolokolo SC akiwa Baba yako wewe na ukoo wako inatosha, usitusemee wengine tusiohusika Mwakarobo SC fan Kungwi wewe [emoji57]
 
Ng'ombe wa masikini hazai

Afrika mashariki sijui tuna mkosi gani 😔
 
Simba MBUMBUMBU PRO MAX [emoji847]
JamiiForums1683832807.jpg
 
Ungesema Simba inahitaji kusajili wachezaji wa kuamua matokeo katika mechi ngumu za kimataifa sababu uzoefu upo huenda ungeeleweka.

BABA yako akikupa ugali maharage shukuru sio unaanza kuuliza kwanini hatuli kuku ilihali unajua mzee bajeti haipo sawa kununua kuku. Simba ni baba hapa East Africa, anafanya vitu ambavyo wengine wameshindwa, inatakiwa itenge fungu la usajili la uhakika la wachezaji wanaoweza amua mechi ngumu za kimataifa. Uwe na shukrani KWA BABA YAKO.
Good
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mimi lawama zangu zinaenda kwa MO ubahiri wake ndio unetufikisha apa yani unajua kabisa kuna mshindano makubwa kama aya alafu unaleta wachezaji wakawaida ambao ata apa bongo wapo..
Hakuna timu yoyote duniani iliyowahi kuwa chini ya Tajiri Kanjibai ikafika popote.

NB:

Makolokolo SC inampatia hasara sana Mr Mudi, sijasema mimi lakini [emoji4]
 
Yanga huyu huyu wa mwiko nyuma?
Taja timu (Bingwa wako) anayeongoza kuifunga Mbumbumbu SC duniani, ukipata jibu jipige kifuani mara 3 mfululizo kisha jiambie kuwa wewe ni Mbumbumbu pro max [emoji23]
 
Arudi kishingo tu ndio pekee ataiweza hii timu ngoja tuone kwenye makundi
 
Umefanya na mimi nicheke pia, japo sijui kilichofanya ucheke hivyo. Labda nikuombe nije PM unishirikishe nijue na mimi nipate kucheka vizuri.

Karibu b....

Ova
Hapa umesound kama Genta, leo utaniua kucheka.
Anytime h... karibu tuyajenge.
 
Hapa umesound kama Genta, leo utaniua kucheka.
Anytime h... karibu tuyajenge.
Oh! Asante sana, bila kuchelewa nakuja na kama utaruhusu nikae huko kwa japo kwa muda wa saa moja hivi nitashukuru.

Kwa mara nyingine, asante sana b....

Ova
 
Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.

Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na hii timu , kila siku tumekufa kiume….. mpira hauhitaji kufa kiume, mpira unahitaji matokeo.

Hapa kwenu Dar mliongoza and in 5 minutes goli likarudi…..what is wrong . Game kama hizi ni lazima uwe na uwezo wa kulinda goli la dhahabu hiyo pia ni strategy or else utaishia hapo hapo kwenye comfort zone yenu

Hii mambo ya tumepambana kiume ni upuuzi

Mlikuwa na option ya kulinda hilo goli hata kwa damu, but akili changa.
Mimi Ni Yanga lakini kiukweli Simba walipambana[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]
 
Oh! Asante sana, bila kuchelewa nakuja na kama utaruhusu nikae huko kwa japo kwa muda wa saa moja hivi nitashukuru.

Kwa mara nyingine, asante sana b....

Ova
Nipo nakusubiri h….
 
Back
Top Bottom