Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hukuona alichofanya kocha immediately?Kocha huyu haha plan . Kocha anabahatsha tu
Kocha mwenye akili baada ya lile goli alitakiwa kujua nini cha kufanya immediately
Yani mmeanzia robo, na mmetoka.Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.
Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na hii timu , kila siku tumekufa kiume….. mpira hauhitaji kufa kiume, mpira unahitaji matokeo.
Hapa kwenu Dar mliongoza and in 5 minutes goli likarudi…..what is wrong . Game kama hizi ni lazima uwe na uwezo wa kulinda goli la dhahabu hiyo pia ni strategy or else utaishia hapo hapo kwenye comfort zone yenu
Hii mambo ya tumepambana kiume ni upuuzi
Mlikuwa na option ya kulinda hilo goli hata kwa damu, but akili changa.
Ulitaka afanye nn labda. Alijaribu kulinda kilichopatikana kwa muda ule.Then?
Ni kweli! Simba ilitakiwa ijifunze kwa IHEFU. Jamaa walitengeneza mpaka T Shirt za kutopoteza mchezo wa 50,lakini walililinda goli mpaka mwisho!Unashindwa vipi kulinda goli kwa kasha na damu na unajua ndo turufu pekee tuliyonayo, senegal Anampiga bingwa mtetezi 2002 na analinda goli mpaka mwisho sisi tunashindwa kitu gani
Umemaliza mkuu...Ungesema Simba inahitaji kusajili wachezaji wa kuamua matokeo katika mechi ngumu za kimataifa sababu uzoefu upo huenda ungeeleweka.
BABA yako akikupa ugali maharage shukuru sio unaanza kuuliza kwanini hatuli kuku ilihali unajua mzee bajeti haipo sawa kununua kuku. Simba ni baba hapa East Africa, anafanya vitu ambavyo wengine wameshindwa, inatakiwa itenge fungu la usajili la uhakika la wachezaji wanaoweza amua mechi ngumu za kimataifa. Uwe na shukrani KWA BABA YAKO.
Kumbe hata mpira wenyewe hujui,eti hata lingelindwa wangepita,wangepitaje wakati ulikuwa ushashinda goli moja na point 4 zidi ya moja in aggregateHata lingelindwa bado wangepita...hebu mtuache...jiandaeni na yenu...muhakikishe mmejishona vzr maana mtaenda kufumuliwa...
Kumbe hata mpira wenyewe hujui,eti hata lingelindwa wangepita,wangepitaje wakati ulikuwa ushashinda goli moja na point 4 zidi ya moja in aggregate
Acha maneno hapo yanangaliwa magoli sio point...Kumbe hata mpira wenyewe hujui,eti hata lingelindwa wangepita,wangepitaje wakati ulikuwa ushashinda goli moja na point 4 zidi ya moja in aggregate
Hakuna spirit ya upambanaji,hivi hata kumuanzisha Bocco sijui Kocha alikuwa naaana gani[emoji848]
Watoto wa kambo na malalamiko, Robo fainali ndo ugali wenyewe unaoupigia kelele, kama baba yako Yanga anaweza kukupa kuku akupe kwanza ndo ulalamikie ugali. Sasa ndo kwanza kakupa mchuzi wa dagaa wa kuchemsha kwa kuingia makundi tangu unazaliwa."Eti Simba Baba anafanya vitu wengine wanashindwa" embu niambie hayo mambo makubwa aliyofanya Simba na wengine wakashindwa au haya ya kuishia robo fainali?
Duh!!Acha maneno hapo yanangaliwa magoli sio point...
Huu ni mtoano...kumbe na wwwni wale wale tuu.. yule alikua na faida ya magoli 2 so hapo tulitakiwa magoli 3 kwenda juu...
Au 2 ili tuingie kwny matuta...
Yaani mpaka nimeshangaa Bocco kucheza kipindi kizima huku akiwa Hana madhara yoyote kwa adui dah. Vitu vingine tunajitakia wenyewe, kila siku itakuwa robo fainali🙌
Yanga huyu huyu wa mwiko nyuma?simba ni hawa aliyetoka ubavuni Mwa mwanaume Yangaa .
Utafanyaje sasa zaidi ya kuteseka na mnyama. Hakuna, na sio leo tu ni tangu zamani Simba huwatesa wasiompenda.Simba ni baba yako peke yako
hujui chochoteKocha huyu haha plan . Kocha anabahatsha tu
Kocha mwenye akili baada ya lile goli alitakiwa kujua nini cha kufanya immediately
Wanaelewa wapinzani sema sasa inauma kukubali kuwa wameelewa wanabaki kugugumia tu ndani kwa ndani.Umemaliza mkuu...
Katika vitu napenda ni jinsi unavyoujua mpira. Hapa kama siyo mtu wa soka anayelijua soka huwezi kuwa comment kama hii. Unajua sana mpira b....Safari hii wakisema wamekufa kiume ni haki. Kushindwa kikanuni mbele ya timu bora Afrika sio jambo rahisi.